• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Morocco na Malawi zakubaliana kuimarisha ushirikiano wa kilimo

    (GMT+08:00) 2018-01-09 08:44:15

    Morocco na Malawi zimekubaliana kuimarisha ushirikiano kwenye sekta ya kilimo. Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa Malawi Bw. Emmanuel Fabiano, na katibu wa nchi wa Morocco anayeshughulikia maendeleo ya vijijini, maji na misitu wa Morocco Bw. Hamou Ouhelli wamesema baada ya kukutana kuwa nchi hizo mbili zimehitimisha makubaliano mawili ya kuimarisha ushirikiano wa kilimo, na kuyataja kuwa ni fursa ya kutafuta njia za kuhimiza ushirikiano wa pande mbili kwenye sekta ya kilimo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako