• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Russia yazuia mashambulizi ya kigaidi dhidi ya vituo vyake nchini Syria

    (GMT+08:00) 2018-01-09 08:44:34

    Taarifa iliyotolewa na wizara ya ulinzi ya Russia inasema wiki iliyopita magaidi walijaribu kuvishambulia vituo vya kijeshi vya Russia vya Hmeymim na Tartus nchini Syria kwa kutumia drone, ambazo zote saba ziliangushwa na kuharibiwa na jeshi la Russia. Russia ilianza operesheni za kijeshi dhidi ya makundi ya kigaidi nchini Syria kutokana na ombi la serikali ya Syria mwaka 2015. Kutokana na uungaji mkono wa Russia, serikali ya Syria imekomboa karibu maeneo yote ya ardhi yake yaliyodhibitiwa na kundi la Islamic State katika miaka miwili iliyopita.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako