• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mwenyekiti wa Kamati ya Ulaya atoa wito wa kuongeza bajeti ya EU baada ya Brexit

    (GMT+08:00) 2018-01-09 08:44:55

    Mwenyekiti wa Kamati ya Ulaya Bw. Jean Claude Juncker ametoa wito kwa nchi wanachama wa umoja huo kutoa fedha zaidi kwa ajili ya bajeti ya pamoja, baada ya Uingereza kujitoa kutoka umoja huo. Bw. Juncker amezihimiza nchi wanachama kufuta ukomo wa kuchangia asilimia 1 ya pato la taifa kwa bajeti ya Umoja huo, na kusema Baada ya Uingereza kujitoa Umoja wa Ulaya mwaka 2019, Umoja huo unapaswa kutafuta njia za kuziba pengo la bajeti litakaloachwa na kusisitiza kuwa unahitaji bajeti kubwa zaidi ili kuweza kupata fedha za kutosha kutekeleza sera zake.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako