• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Misri kuwa mwenyeji wa mashindano ya Afrika mwaka 2018

  (GMT+08:00) 2018-01-09 09:36:26

  Shrikisho la vyama vya mpira wa wavu CAVB jana limeitangaza nchi ya Misri kuwa mwenyeji wa mashindano ya kutafuta bingwa wa Afrika ngazi ya klabu kwa mwaka 2018.

  Kwa upande wa wanawake michuano hiyo ya mabingwa wa vilabu ngazi ya kanda za kiushindani yataanza rasmi machi 5 hadi machi 18, kwa upande wawanume iatkuwa Machi 27 hadi Aprili 4.

  Ukanda wa Afrika Mashariki unawakilishwa na vilabu kutoka Kenya ambavyo ni Kenya Pipeline and Kenya Prisons kwa wanawake na GSU and Kenya Prisons kwa wanaume.

  Na Mabingwa watetezi wa mashindano hayo ni Al Ahly ya Misri.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako