• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mechi za Nusu Fainali kombe la Mapinduzi

  (GMT+08:00) 2018-01-09 09:36:49
  YANGA ya Tanzania itakutana na URA ya Uganda katika Nusu Fainali ya Kombe la Mapinduzi wakati Singida United itakuwa kibaruani kucheza na Azam FC, mechi ambazo zote zinatarjiwa kufanyika kesho jumatano katika uwanja wa Amaan mjini Zanzibar.

  Hii ni baada ya matokeo ya sare ya 1-1 baina ya Yanga na Singida United katika mchezo wa mwisho wa hatua ya makundi ulioamua mshindi wa kwanza na wa pili kwenye msimamo.

  URA wanaingia kwenye mechi hiyo ikiwa ni baada ya kukamilisha mechi yao ya hatua ya makundi kwa kuifunga Simba ya Dar es Salaam kwa goli 1-0.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako