• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Waziri mkuu wa China apongeza ushirikiano wa China na Cambodia

  (GMT+08:00) 2018-01-09 18:55:59

  Waziri Mkuu wa China Li Keqiang amesema anatarajia ushirikiano wa nguvu zaidi kati ya Lancang-Mekong, na maendeleo makubwa zaidi katika uhusiano wa China na Cambodia.

  Waziri mkuu Li amesema hayo katika waraka wake uliochapishwa leo kwenye gazeti la Khmer Times la nchini Cambodia. Katika waraka huo, Bw. Li amesema anatumai kuwa mkutano ujao wa viongozi wa Ushirikiano wa Lancang – Mekong (LMC) utajadili mipango kazi ya baadaye ya ushirikiano huo katika uhifadhi wa maji, elimu, utamaduni, vijana na maeneo mengine.

  LMC inajumuisha nchi sita za Cambodia, China, Laos, Myanmar, Thailand na Vietnam. Li amesema, Mto Lancang – Mecong, unaziunganisha nchi hizo sita na kuzifanya kuwa jamii yenye hatma ya pamoja katika usawa, uaminifu, kusaidianam na undugu.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako