• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rwanda: Wabunge Rwanda kukagua miradi

  (GMT+08:00) 2018-01-09 19:25:44

  Wabunge nchini Rwanda wameanza kufanya ukaguzi wa miradi ya serikali ya kupunguza umaskini katika mkoa wa kaskazini.

  Hiyo ni miradi ilio chini ya mwaka wa fedha 2017-2018.

  Baada ya kukamilisha mkoa wa kaskazini baadaye wabunge hao watazuri mkoa wa magharibi na mji mkuu Kigali.

  Mikoa ya Kusini na Mashariki itakaguliwa mwezi Machi.

  Chini ya bajeti ya 2017/2018 ya franc trilioni 2.09 serikali ilipanga kutekeleza miradi mikubwa ya miundo mbinu kote nchini humo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako