• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Uganda: Benki sita zaidhinishwa kuu za bima Uganda

  (GMT+08:00) 2018-01-09 19:27:31

  Benki sita nchini Uganda zimepewa leseni na serikali kuanza kuuza bima.

  Mkurungezi mkuu wa mamlaka ya kuthibiti kampuni ya bima nchini humo

  Ibrahim Lubega Kadunnabbi, amesema wako kwenye mchakato wa kutathmini uwezo wa beni nyingine zilizotuma maombi.

  Baadhi ya beni ambazo zimepewa leseni ni pamoja na Diamond Trust, Stanbic Bank, Barclays Bank, NC Bank, Bank of Africa na Finance Trust Bank.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako