• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Uganda: Marufuku ya usafir wa usiku waathiri biashara Uganda

  (GMT+08:00) 2018-01-09 19:28:52

  Wafanya biashara nchini Uganda wamelalamika kwamba kupigwa marufuku kwa safari za usiku kwa mabasi kutapekelea kupanda kwa bei ya bidhaa.

  Serikali ya Kenya mwezi desemba ilipiga marufuku safari za usiku ikwa magari ya usafiri wa umma kufuatia kuongezeka kwa ajali za barabarani.

  Kulingana na mwenyekiti wa chama cha wafanyabiashara wa Kampala Kacita), Everest Kayondo, marufuku hiyo imepunguza uwezo wa wateja kufika kwenye masoko ya Uganda.

  Alisema wateja wengi husafiri usiku na kufanya biashara wakati wa mchana.

  Sasa kutokana na marufuku hiyo wasafiri na wateja wataanza kutumia zaidi ya siku 5 badala ya siku 3.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako