• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Libya yafikiria kuunganisha majeshi yake chini ya usimamizi wa Umoja wa mataifa

    (GMT+08:00) 2018-01-10 08:50:21

    Mkuu wa Baraza kuu la taifa la Libya Bw. Abdurrahman Swehli na waziri wa ulinzi Bw. Al-Mahdi Al-Barghathi wamejadili kuunganisha majeshi ya nchi hiyo chini ya usimamizi wa Umoja wa mataifa. Taarifa iliyotolewa na baraza hilo inasema mkutano huo umejadili hali ya kijeshi nchini humo, na changamoto kubwa zinazoikabili wizara ya ulinzi na majeshi ya nchi, pamoja na njia za kuzitatua changamoto hizo. Taarifa inasema juhudi za kuunganisha majeshi ya nchi hiyo zitahusisha maofisa wote wa majeshi ya Libya na zitafanyika chini ya usimamizi wa Umoja wa Mataifa, na sio "mapendekezo ya mtu fulani binafsi".

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako