• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Hamas yaishutumu Israeli kuwa chanzo cha shambulizi Ukingo wa Magharibi

    (GMT+08:00) 2018-01-10 08:51:04

    Kundi la Hamas limeeleza kuunga mkono shambulizi la risasi lililotokea jana na kumwua raia mmoja wa Israel aliyekuwa kwenye gari lake mjini Nablus, kaskazini mwa Ukingo wa magharibi. Msemaji wa Hamas Bw. Fazwi Barhoum amesema kundi hilo linapongeza shambulizi hilo linalotokana na vitendo vya Israel vya kukalia ardhi ya Palestina, na kulitaja kuwa ni hatua ya kujibu uhalifu wa Israel dhidi ya wapalestina katika Ukingo wa Magharibi. Msemaji huyo ameishutumu Israel kuwajibuka na matokeo ya sera zake za ubaguzi na siasa kali ambazo zimetekelezwa dhidi ya watu wa Palestina.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako