• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Tanzania yamruhusu Simbu kwenda kushiriki mashindano ya dunia nchini Hispania

  (GMT+08:00) 2018-01-10 10:19:53

  Chama cha riadha nchini Tanzania RT kimethibitisha kuwa, nyota wa tifa hilo kwenye riadha kwa sasa Alphonce Felix Simu hatojumuiyishwa katika kikosi cha timu ya taifa kitakachokwenda kushiriki michuano ya jumuiya ya madola itakayofanyika mwezi April mwaka huu nchini Australia.

  Akizungumzia sababu, katibu mkuu wa RT, Wilhelm Gidabuday, amesema Simbu aliomba kwenda kushiriki mashindano makubwa ya dunia ambayo yanatarajiwa kufanyika nchini Hispania mwezi machi mwaka mjini Valencia.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako