• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Wachezaji chipukizi kutoka Kenya washinda mechi za robo fainali

  (GMT+08:00) 2018-01-10 10:20:39
  Wachezaji watano kutoka Kenya wamefanikiwa kushinda hatua ya 8 bora katika vipengele tofauti vya mashindano ya vijana ya kimataifa ya mchezo wa Tennis yanayoendelea mjini Nairobi.

  Kael Shah mwenye miaka 14 alimshinda Mohamed Antoissi wa Comoro, kwa upande wasichana chini ya miaka 14 Alicia Owegi alimshinda Sauda Akimana wa Burundi.

  Chini ya Miaka 16, Derrick Ominde alimshinda Joseph Czya wa Rwanda na Ryan Randiek akimshinda Salum Mutabazi wa Burundi.

  Kipekee Cynthia Cheyruto amemshinda mkenya mwenzake Nicole Agufana na kufuzu hatua ya nusu fainali ya mashindano.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako