• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Korea ya Kaskazini yaruhusiwa kupeleka timu Korea

  (GMT+08:00) 2018-01-10 10:25:37

  Hatimaye Korea Kaskazini imeruhusiwa kupeleka wanamichezo wake kwenye mashindano ya Olimpiki ya majira ya baridi yatakayofanyika mwezi Februari nchini Korea Kusini.

  Ruhusa hiyo imekuja baada ya kikao kizito cha majadiliano baina ya mataifa hayo ya peninsula kilichofanyika jana mjini Seoul.

  Kizuizi kilichowekwa miaka miwili iliyopita baina ya mataifa hayo mawili cha wanachi kutembeleana na kuwasiliana kinaondolewa rasmi leo.

  Kuhusu ujumbe Olimpiki ya majira ya baridi. Korea Kaskazini imeruhusiwa kupeleka wachezaji, viongozi wa timu na mashabiki kwa ajili ya mashindano.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako