• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Waziri mkuu wa China ahudhuria mkutano wa pili wa viongozi wa ushirikiano wa Lancang-Mekong

  (GMT+08:00) 2018-01-10 15:27:46

  Waziri mkuu wa China Bw. Li Keqiang leo asubuhi ameondoka Beijing kwenda Phnom Penh, Cambodia kuhudhuria mkutano wa pili wa viongozi wa ushirikiano wa Lancang-Mekong na kufanya ziara nchini Cambodia.

  Hii ni ziara ya kwanza kwa viongozi wa China mwaka 2018. Naibu waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Kong Xuanyou amesema kuwa, ziara hiyo ina umuhimu mkubwa kwa kuzidisha ushirikiano wa Lancang-Mekong, na itakuwa na athari kubwa kwa maendeleo ya uhusianowa sasa  kati ya China na Cambodia na wa siku zijazo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako