• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Li Keqiang awasili Phnom Penh kuhudhuria mkutano wa pili wa viongozi wa ushirikiano wa Lancang-Mekong

  (GMT+08:00) 2018-01-10 18:13:39

  Waziri mkuu wa China Bw. Li Keqiang leo alasiri amewasili Phnom Penh, mji mkuu wa Cambodia, na kuhudhuria mkutano wa pili wa viongozi wa ushirikiano wa Lancang-Mekong, na kufanya ziara nchini Cambodia.

  Bw. Li Keqiang amesema kuwa, mto Lancang-Mekong unaunganisha nchi sita za China, Myanmar, Laos, Thailand, Cambodia na Vietnam, pia unaugnanisha hatma ya nchi hizo sita. Amesema China inapenda kushirikiana na pande mbalimbali husika kukumbusha maendeleo ya ushirikiano, kupanga mipango ya maendeleo ya siku za baadaye, ili kuhimiza maendeleo ya mfumo wa ushirikiano wa Lancang-Mekong, na kutia uhai kwa ustawi na maendeleo ya kanda hiyo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako