• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kenya: Kampuni ya ufaransa yapewa kandarasi JKIA

  (GMT+08:00) 2018-01-10 19:42:22

  Kampuni ya ufaransa Paris Aeroport, imeshinda kandarasi ya kujenga eneo jipya la kuabiri ndege katika uwanja wa kimataifa wa Jomo Kenyatta.

  Kandarasi hiyo imetolewa na mamlaka ya viwanja vya ndege nchini Kenya.

  Mkurungezi wa kampuni hiyo Gratien Maire amesema kandarasi hiyo itahisisha kujengwa kwa eneo la kupanga mizigo na pia muundo.

  Mamlaka hiyo ya viwanja vya ndege inapanga kuongeza uwezo wa uwanja huo ili kuweza kuhudumia wasafiri milioni 10.3 kwa mwaka.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako