• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kenya: Kenya Airways kuanza kusaifri moja kwa moja Marekani Oktoba

  (GMT+08:00) 2018-01-10 19:43:03

  Safari za moja kwa moja kati ya Kenya na Marekani kupitia shirika la ndege la Kenya Airways zinatarajiwa kuanza mwezi Oktoba mwaka huu.

  Safari hizo sasa zitakata muda wa safari kati ya Nairobi na New York kwa zaidi ya masaa 7.

  Wanaotaka kusaifiri wanaweza kuanza kulipa tiketi zao za mapema kuanzia alhamisi hii wakisubiri kusafiri hadi uwanja wa ndege wa kimataifa wa John F. Kennedy ambapo Kenya Airways taari imepata nafasi ya kutua.

  Safari hizo za moja kwa moja zitachukua masaa 15 zikianza saa nne unusu usiku kila siku.

  Kila safari itakuwa na abiria wasiozidi 234.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako