• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Umoja wa Ulaya waihimiza Kenya kuufanyia mageuzi mfumo wa uchaguzi ili kuondoa mvutano wa kisiasa

  (GMT+08:00) 2018-01-11 08:50:20

  Ripoti ya mwisho iliyotolewa jana na Tume ya uangalizi wa uchaguzi ya Umoja wa Ulaya kuhusu uchaguzi mkuu wa Kenya uliofanyika mwaka jana, imeihimiza Kenya kuufanyia mageuzi mfumo wa uchaguzi uwe wazi na shirikishi zaidi, ili kupunguza mvutano wa kisiasa uliopamba moto kwenye uchaguzi nchini humo. Ripoti hiyo inasema uwezo wa Kenya wa kupona kutoka msukosuko wa kisiasa na kiuchumi ulioibuka nchini humo katika kipindi cha uchaguzi, unategemea mageuzi kamili yanayohakikisha uchaguzi wa siku zijazo unakuwa huru, haki na wazi.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako