• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Marekani kuondoa vikosi vyake kutoka Iraq katika miezi ijayo

  (GMT+08:00) 2018-01-11 08:50:38

  Balozi wa Marekani nchini Iraq Bw. Douglas Silliman amesema Marekani itapunguza vikosi vyake nchini Iraq katika miezi kadhaa ijayo. Balozi huyo amesema kabla ya hapo vikosi hivyo vyenye wanajeshi zaidi ya elfu tano vilipewa majukumu ya kutoa uungaji mkono na mafunzo kwa vikosi vya Iraq, lakini sasa vikosi hivyo vinafuatilia tu kutoa mafunzo kwa jeshi la Iraq kuhusu namna ya kulinda maeneo yaliyokombolewa, na pia kutoa misaada ya kibinadamu kwa wakimbizi wa ndani hadi watakaporudi makwao.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako