• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Marais wa Korea kusini na Marekani waona uwezekano wa kufanya mazungumzo kati ya Marekani na Korea kaskazini

  (GMT+08:00) 2018-01-11 08:51:00

  Rais Moon Jae-in wa Korea kusini na mwenzake wa Marekani Bw. Donald Trump wameona kuna uwekezano wa kufanya mazungumzo kati ya Marekani na Korea kaskazini, baada ya kufanyika kwa mazungumzo ya ngazi ya juu kati ya Korea kusini na Korea kaskazini. Rais Trump amesema yuko wazi kwa mazungumzo kama Korea kaskazini ikitaka kufanya mazungumzo katika wakati mwafaka na katika hali zinazofaa, akisisitiza kuwa hakutakuwa na hatua ya kijeshi dhidi ya Korea Kaskazini kwenye kipindi cha mazungumzo kati ya Korea Kusini na Korea Kaskazini.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako