• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mkutano wa pili wa wajumbe wote wa kamati ya ukaguzi wa maadili ya chama cha kikomunisti cha China wafanyika

  (GMT+08:00) 2018-01-11 17:31:48
  Mkutano wa pili wa wajumbe wote wa kamati ya ukaguzi wa maadili ya awamu ya 19 ya kamati kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) umefanyika leo hapa Beijing.

  Mktuano huo wa siku tatu utachunguza na kupanga ujenzi wa utawala bora wa chama na kazi ya kupambana na ufisadi ya mwaka 2018. Katibu mkuu wa kamati kuu ya chama cha kikomunisti cha China Bw. Xi Jinping amehutubia mkutano huo na kusisitiza kuwa, katika zama mpya ya kujenga ujamaa wenye umaalumu wa Kichina, inapaswa kutegemea uongozi wa CPC. Amesema CPC ni lazima kiwe na hali mpya na vitendo vipya, na kinapaswa kutekeleza mwongozo wa mkutano wa 19 wa chama, na kufungua ukurasa mpya wa kuongoza chama kwa makini.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako