• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • UAE, NATO zajadili kuimarisha ushirikiano wa kijeshi

  (GMT+08:00) 2018-01-12 08:41:35

  Umoja wa falme za kiarabu na Jumuiya ya kujihami ya nchi za magharibi NATO zimejadili njia za kuimarisha ushirikiano uliopo wa kijeshi kati ya pande hizo mbili. Mkutano huo uliofanyika huko Abu Dhabi umejadili njia za kuboresha ushirikiano wa kijeshi kwenye nyanja mbalimbali, kwa lengo la kuimarisha usalama na utulivu wa kikanda. Pande hizo mbili pia zimejadili uratibu na ushirikiano wa kimkakati kati yao juu ya masuala ya kikanda na ya kimataifa yanayofuatiliwa kwa pamoja.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako