• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Meya wa London asema nafasi laki tano za ajira ziko hatarini kama Brexit ikifanyika "bila makubaliano"

  (GMT+08:00) 2018-01-12 08:44:23

  Taarifa iliyotolewa jana na meya wa mji wa London Bw. Sadiq Khan imesema nafasi karibu laki tano za ajira nchini Uingereza zitakuwa hatarini kama Uingereza ikijitoa moja kwa moja kutoka Umoja wa Ulaya bila kufikia makubaliano yoyote na umoja huo. Ripoti hiyo inasema Brexit bila makubaliano itakwamisha ukuaji wa uchumi wa Uingereza kwa muongo mmoja au zaidi, ambapo nafasi za ajira zinakadiriwa kupungua kwa laki tano, huku uwekezaji ukishuka kwa dola bilioni 68 za kimarekani ifikapo mwaka 2030.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako