• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mkutano wa pili wa wajumbe wote wa awamu ya 19 ya kamati kuu ya CPC kufanyika tarehe 18 mwezi huu

  (GMT+08:00) 2018-01-12 15:52:13

  Ofisi ya siasa ya kamati kuu ya chama cha kikomunisti cha China (CPC) leo umefanya mkutano kuchunguza pendekezo la kurekebisha baadhi ya sehemu ya katiba. Katibu mkuu wa chama Bw. Xi Jinping ameendesha mkutano huo.

  Mkutano huo umeamua kuwa, mkutano wa pili wa wajumbe wote wa awamu ya 19 ya kamati kuu ya chama cha kikomunisti cha China (CPC) utafanyika tarehe 18 na terehe 19 mwezi huu hapa Beijing.

  Ofisi ya siasa imesikiliza ripoti ya maoni kuhusu pendekezo la kurekebisha baadhi ya sehemu ya katiba, na kuamua kukabidhi wakara wa marekebisho kwenye mkutano wa pili wa wajumbe wa awamu ya 19 ya kamati kuu ya CPC.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako