• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mkutano wa pili wa wajumbe wote wa awamu ya 19 ya kamati kuu ya CPC kufanyika tarehe 18 mwezi huu

  (GMT+08:00) 2018-01-12 18:34:00

  Katibu mkuu wa chama Bw. Xi Jinping leo ameendesha mkutano wa Ofisi ya siasa ya Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) unaojadili pendekezo la kurekebisha baadhi ya vipengele vya katiba.

  Mkutano huo umeamua kuwa, mkutano wa pili wa wajumbe wote wa awamu ya 19 wa kamati hiyo utafanyika tarehe 18 na terehe 19 mwezi huu hapa Beijing.

  Ofisi ya siasa imesikiliza ripoti ya maoni kuhusu pendekezo la kurekebisha baadhi ya vipengele vya katiba, na kuamua kukabidhi wakara wa marekebisho kwenye mkutano wa pili wa wajumbe wote wa awamu ya 19 ya Kamati Kuu ya CPC.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako