• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waasi waimarisha mashambulizi mjini Idlib, Syria

    (GMT+08:00) 2018-01-15 08:57:35

    Jeshi la Syria limejibu mashambulizi yaliyofanywa na waasi wa Nusra Front na kundi la Turkistan Party pembezoni mwa mji wa Idlib, siku chache baada ya kuzuia shambulizi lingine mjini humo. Kwenye mapambano yaliyoanza jumamosi baada ya waasi kurejesha mashambulizi dhidi ya vituo vya jeshi la Syria kusini mwa Idlib, waasi 95, wakiwemo makamanda sita, waliuawa. Jeshi la Libya limeanzisha operesheni kubwa ya kutwaa vitongoji vya kusini vya Idlib, vitongoji vya kaskazini vya mkoa wa Hama, na vitongoji vya kusini vya mkoa wa Aleppo kutoka waasi wa Nursa Front na wale wanaoungwa mkono na Uturuki.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako