• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kikapu, Kufuzu kombe la Dunia 2019. Rwanda yapangiwa kucheza mechi ya kwanza na Mali

    (GMT+08:00) 2018-01-15 10:23:30
    Timu ya taifa ya Rwanda imepangiwa kucheza na wenyeji Mali mwezi ujao katika mechi ya ufunguzi ya kundi D la mashindano ya kufuzu kombe la dunia kwa mwaka 2019.

    Kuelekea michuano hiyo ambayo ni ya awali na itakayofanyika Februari 23 hadi 25, tayari kikosi cha Rwanda kimeanza kujifua katika uwanja wa ndani wa Amahoro mjini Kigali.

    Na kocha mkuu wa timu hiyo Moise Mutokambali aendelea kuwapima mara mbili kwa wiki wachezaji 17 aliowaita kuunda kikosi hicho.

    Rwanda iko kundi D pamoja na timu za Mali, Nigeria na Uganda

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako