• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China kutoa mafunzo ya Wushu kwa watoto

    (GMT+08:00) 2018-01-15 17:41:12

    Wataalam wa mafunzo ya Wushu nchini China wamekutana katika semina kwa lengo la kujadili hatua za kuboresha utamaduni wa jadi wa Kichina kwa watoto.

    Mpango wa maendeleo ya Wushu uliozinduliwa kwenye semina hiyo iliyofanyika jana hapa Beijing umeeleza kuwa, maonyesho ya Wushu yatafanywa na watoto milioni moja kwenye miji 100 kusherehekea Siku ya Watoto tarehe mosi, Juni mwaka huu. China inapanga kuanzisha vituo vya utafiti wa Wushu na kambi za mafunzo, kuandaa mashindano, na kufundisha Wushu kwa watoto shuleni nchi nzima.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako