• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ndege ya bei nafuu Silverstone Air imepanua mabawa yake kueleka Lodwar

    (GMT+08:00) 2018-01-15 20:12:58

    Ndege ya bei nafuu Silverstone Air imepanua mabawa yake kueleka Lodwar kuanzia Januari 19, 2018.

    Meneja wa Mauzo na Masoko wa Ndege hiyo, bw. Patrick Oketch amesema huduma mpya imetoka uwanja wa ndege wa Wilson.

    Ndege hiyo itakuwa ikitoka katika uwanja wa ndege wa Wilson saa 07.45am na kufika Lodwar saa 09:30 na kurudi saa 10.45am.

    Oketch amesema ndege hiyo italipisha sh8,500 ikiwa ni pamoja na mzingo wa kilo 24.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako