• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wakala wameibuka kama wafaidi wakubwa katika uuzaji wa mahindi.

    (GMT+08:00) 2018-01-15 20:17:54

    Wakala wameibuka kama wafaidi wakubwa katika uuzaji wa mahindi.

    Wafanyabiashara wananunua mfuko wa kilo 90 wa mahindi kwa Sh1,800 kutoka kwa wakulima na kuuuza kwa Serikali kupitia Bodi ya Taifa ya nafaka na uzalishaji (NCPB) kwa Sh3,200 baada ya kujitambulisha kama wakulima.

    Hii inafanyika lich ya serikali kutoa onyo kali la kutoruhusu mawakala kufaidika na bei ya juu ambayo inapaswa kuwasaidia wakulima.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako