• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Soka: Kenya, Gor Mahia waruhusiwa kutumia uwanja wa Machakos

    (GMT+08:00) 2018-01-16 10:19:56
    Gavana wa County ya Machakos nchini Kenya Alfred Mutua amewafutia Gor Mahia kifungo cha miaka minne cha kutotumia uwanja wa mpira wa miguu wa Machakos kilichoanza rasmi mwaka 2014, ikiwa ni adhabu iliyotokana na vurugu zilizofanywa na mashabiki wake kwa hasira ya kufungwa na Sofapaka, hata kupelekea uharibifu wa mali zenye thamani mamilioni ya shilingi.

    Uamuzi wa kuwafungulia wababe hao wa soka wa nchini Kenya, umekuja baada ya kikao kubwa kilichoitishwa na waziri wa michezo Faith Kitu na kuwakutanisha, Serikali ya kaunti na uongozi wa Gor waliokubaliana baadhi ya mambo ikiwemo, onyo kali, na timu hiyo kutakiwa kulipa faini ya shilingi milioni moja.

    Sasa Gor Mahia wataruhusiwa kuutumia uwanja huo kama uwanja wao wa nyumbani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako