• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tennis, Mashindano ya Australia: Wamarekani saba wafungwa mechi zao za kwanza

    (GMT+08:00) 2018-01-16 10:20:20
    Wachezaji kutoka Marekani jana wameandika rekodi mbaya baada ya wengi kutolewa katika siku ya kwanza na katika mechi zao za kwanza za mashindano ya kimataifa yaliyoanza jana nchini Australia.

    Wachezaji hao ni Venus Williams amabye ni namba tano kwa viwango vya ubora duniani akitolewa na Belinda Bencic wa Uswisi amabye ni namba 74 kwa ubora duniani, mwingine ni Coco Vandewenge (10) aliyetolewa na Daria Gavrilova wa Australia (23) na John Isner (13) aliyefungwa na Metthew Ebden wa Afrika Kusini (78) duniani.

    Wengine waliondolewa ni Irina Falconi, Sloane Stephens, Kevin King, na Sofia Kenin.

    Michuano hiyo inaendelea leo kuanzia saa tano kwa saa Afrika Mashariki ambapo wamarekani wengine watajipima ubavu wakiwemo Donald Young, Francis Tiafoe na Brengle.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako