• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Soka, Ligi Kuu ya Uingereza, Man United yapunguza tofauti ya alama kati yake na Man City

    (GMT+08:00) 2018-01-16 10:21:00
    Klabu ya Manchester United imepunguza tofauti ya alama na vinara wa ligi kuu ya nchini Uingereza, Manchester City kutoka 15 hadi 12, baada ya ushindi wa mgoli 3-0 iliopata jana dhidi ya Stoke City katika uwanja wa old Trafford.

    Antonio Valencia, Anthony Martial na Romelu Lukaku ndiyo waliofanikisha hilo, pamoja golikipa David De-Gea aliyekana nyavu zake kuguswa.

    Kwa ushindi huo United pia, wanaweka tofauti ya alama kati yake na timu za Liverpool na Chelsea ambazo zinakamata nafasi ya tatu na nne zikiwa na alama 47 kila moja.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako