• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Gofu, Uganda: Wachezaji,kila mmoja atamba kushinda msimu huu

    (GMT+08:00) 2018-01-16 10:27:55

    Nyota wenye majina makubwa nchini Uganda katika mchezo wa gofu, kila mmoja ameanza kutamba kuwa mwaka huu atahakikisha anatwaa taji la mashindano ya Entebbe, yajulikanayo kama Singleton Golf Challenge yanayoendelea kwa awamu.

    Miongoni mwa waliotajwa ni Kiryowa Kiwanuka'K.K' and Elly Mukasa missed out'Sober'. Ambao licha ya kwamba hawakufuzu lakini walipewa nafasi kutokana na viwango vyao vya misimu iliyopita wamechaguliwa kuhsiriki.

    Weingine ni Yunus Baale,Raymond Mwesigwa, Dan Kajungu na Collins Nuwagira.

    Washindi watajipatia nafasi ya kwenda kushiriki michuano maalum ya kimataifa ya Dubai ambapo katika mashindano yaliyopita Isaac Mariera na John Muchiri walishinda.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako