• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Marais wa China na Marekani wazungumza kwa njia ya simu

    (GMT+08:00) 2018-01-16 16:43:04

    Rais Xi Jinping wa China na rais Donald Trump wa Marekani leo wamefanya mazungumzo kwa njia ya simu.

    Rais Xi amesema, katika mwaka mmoja uliopita, uhusiano kati ya China na Marekani umepata maendeleo muhimu kwa ujumla. Kudumisha maendeleo ya utulivu ya uhusiano huo, kunaambatana na maslahi ya wananchi wa nchi hizo mbili, pia ni matarajio ya pamoja ya jumuiya ya kimataifa.

    Rais Trump amesema, Marekani inapenda kushirikiana na China kuimarisha mawasiliano ya ngazi mbalimbali kati ya nchi hizo mbili, kupanua ushirikiano wenye ufanisi, kushughulikia vizuri masuala ya uchumi na biashara, na kusukuma mbele uhusiano kati ya nchi hizo mbili.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako