• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Sudan kusini : Sudan kusini yajiunga na bima ya biashara Afrika

    (GMT+08:00) 2018-01-16 20:53:13

    Sudan Kusini inatarajia kupata wawekezaji zaidi kwenye sekta yake ya mafuta baada ya kujiunga na shirika la bima ya biashara la afrika ATI.

    Kujiunga na shirika hilo kunatoa nafasi kwa mamapuni yanayotaka kuwekeza kwenye nchi zilizo na migogoro, uwekezaji huo ukitarajiwa kukuza uchumi.

    Bima hiyo inafidia hasara zinazotaka na ukiukaji wa mikataba ama serikali kukosa kulipa ada ya utafiti.

    Mkurungezi wa ATI George Otieno amesema wanatarajiwa kushirikiana na Sudan Kusini kuisaidia kuongeza uwekezaji wa moja kwa moja.

    Sudan Kusini inakuwa ni nchi ya 14 barani Afrika kujiunga na ATI.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako