• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Soka, CHAN: Raundi ya pili ya hatua ya makundi kuanza leo

    (GMT+08:00) 2018-01-17 11:17:37

    Timu ya Congo-Brazzaville jana imefanikiwa kuongoza kundi D la michuano ya kombe la mataifa ya Afrika inayoendelea mjini Morocco baada ya kujikusanyia pointi tatu kwa kuifunga Cameroun kwa goli 1-0.

    Uongozi huo umewezekana baada ya mechi nyingine ya kundi hilo baina ya Angola na Burkina Faso kuisha kwa sare ya bila kufungana.

    Michuano hiyo inaendelea leo kwa mechi za kundi A ambapo wenyeji Morocco watacheza na Guinea ya Conakry, na Sudan wenye pointi 3 wakisaka ushindi wa pili ambao ni muhimu ili kusonga mbele watakapocheza dhidi ya Mauritania.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako