• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Faida za kampuni zinazosimamiwa na Baraza la Serikali la China zazidi dola za kimarekani bilioni 217 mwaka jana

    (GMT+08:00) 2018-01-17 19:02:15

    Faida za kampuni 98 zinazosimamiwa moja kwa moja na Baraza la Serikali la China zilizidi dola za kimarekani bilioni 217 kwa mwaka jana, ikiwa ni ongezeko la asilimia 15.2, ambalo ni kiwango cha juu zaidi katika miaka mitano iliyopita.

    Kampuni hizo zilipunguza uwezo wa uzalishaji wa chuma cha pua kwa tani milioni 5.95 na ule wa makaa ya mawe kwa tani milioni 27.03, ambavyo vyote vimepita lengo lililowekwa.

    Mwaka huu kampuni hizo zinapanga kupunguza uwezo huo wa tani milioni 10 kwa makaa ya mawe huku mageuzi ya muundo wa sekta ya makaa ya mawe yakitekelezwa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako