• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wapiganaji watano wa kundi la Al Shabaab wakamatwa kusini magharibi mwa Somalia

    (GMT+08:00) 2018-01-17 19:11:27

    Jeshi la serikali ya Somalia limewakamata wapiganaji watano wa kundi la Al Shabaab katika operesheni iliyofanyika kusini mwa Baidoa, ambao ni mji mkuu wa mkoa wenye utawala maalum wa Kusini Magharibi.

    Msemaji wa rais wa mkoa huo Nuradin Yusuf Abukar amesema, jeshi la Somalia na vikosi vya mkoa wa Kusini Magharibi vilifanya operesheni ya pamoja katika eneo la Manaas. Amethibitisha kuwa baadhi ya askari wamepata majeraha madogo wakati wa operesheni hiyo, na kwamba vikosi hivyo vilikomboa maeneo kadhaa ndani na nje ya eneo hilo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako