• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wataalamu wa Marekani wasema pendekezo la "ukanda mmoja njia moja" linaleta manufaa kwa nchi zinazoshiriki

    (GMT+08:00) 2018-01-18 08:57:05

    Ofisa mwandamizi wa idara ya uwekezaji ya kampuni ya KraneShares ya Marekani, inayoshughulikia mambo ya biashara na China Bw. Brendan Ahern, amesema pendekezo la Ukanda mmoja njia moja, sio tu linahimiza ushirikiano wa kibiashara kati ya nchi zinazoshiriki kwenye pendekezo hilo, bali pia linahimiza ushirikiano wa kidiplomasia na kiutamaduni.

    Ofisa mkuu mtendaji wa KraneShares Bw Jonathan Krane amesema pendekezo hilo linaweza kuchangia ongezeko la dola trilioni 6 kwenye uwekezaji kwa nchi zinazoshiriki, ambazo ni sawa na asilimia 34 ya pato la dunia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako