• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Walinzi wa pwani wa Libya waokoa wahamiaji haramu 234

    (GMT+08:00) 2018-01-18 09:07:32

    Walinzi wa pwani wa Libya wamewaokoa wahamiaji haramu 234 kwenye eneo la habari lililo karibu na pwani ya magharibi ya nchi hiyo.

    Msemaji wa jeshi la majini la Libya Bw. Ayob Qassem amesema, wahamiaji wao wakiwemo watoto na wanawake wanaotoka katika nchi za kiarabu na Afrika, wameokolewa kaskazini mwa eneo la Mellita na kaskazini mwa mji wa Zuwara.

    Baada ya kupewa misaada ya kibinadamu, wahamiaji hao wamepelekwa katika kambi ya jeshi la majini mjini Tripoli na kukabidhiwa kwa idara ya kupambana na uhamiaji haramu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako