• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Viongozi wa ulinzi wa NATO wajadili changamoto za kiusalama kutoka upande wa kusini

    (GMT+08:00) 2018-01-18 09:31:22

    Mwenyekiti wa Kamati ya kijeshi ya Jumuiya ya kujihami ya nchi za magharibi NATO Bw. Petr Pavel amesema viongozi wa ulinzi wa NATO wamejadili changamoto za kiusalama kutoka upande wa kusini, na kusema lengo lao ni kushirikiana kwa karibu zaidi katika kuleta utulivu katika kanda za Mashariki ya kati na Afrika kaskazini. Viongozi hao wa ulinzi pia wamejadili uungaji mkono kwa muungano wa kijeshi wa kupambana na kundi la Islamic State unaoongozwa na Marekani, na nafasi ya NATO nchini Iraq.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako