• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kampuni ya mafuta ya kitaifa ya Abu Dhabi yapanga kutumia teknolojia mpya kudhibiti utoaji wa gesi ya kaboni

    (GMT+08:00) 2018-01-18 09:31:41

    Kampuni ya mafuta ya kitaifa ya Abu Dhabi imetangaza mpango wake wa kupanua matumizi ya teknolojia ya kukusanya na kuhifadhi gesi ya kaboni ili kufikia lengo la ongezeko la mara sita la matumizi ya gesi ya Carbon dioxide katika muongo ujao. Kampuni hiyo imehifadhi tani laki 2.4 za gesi ya Carbon dioxide, iliyokusanywa kutoka kwenye viwanda vya chuma nchini humo, kwa kuiingiza kwenye akiba yake katika visima vya mafuta vya Rumaitha na Bab, kwa lengo la kuongeza mafuta kwenye visima hivyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako