• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uchumi wa China waongezeka kwa asilimia 6.9 mwaka jana

    (GMT+08:00) 2018-01-18 16:35:09

    Takwimu zilizotolewa leo na idara ya takwimu ya China zinaonesha kuwa, pato la taifa la China GDP liliongezeka kwa asilimia 6.9 mwaka jana.

    Mkurugenzi wa idara hiyo Bw. Ning Jizhe leo hapa Beijing amesema, mwaka jana uchumi wa China uliongezeka kwa utulivu, na kupita makadirio ya awali.

    Takwimu mpya zinaonesha kuwa, hadi kufikia mwisho wa mwaka 2017, idadi ya watu katika China bara ilifikia bilioni 1.39.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako