• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya:Wabunge kuzuia pendekezo la mishahara kupunguzwa

    (GMT+08:00) 2018-01-18 20:09:55

    Wabunge nchini Kenya wameungana kupinga pendekezo la mishahara yao kupunguzwa na tume ya huduma za miashahara.

    Tume ya huduma za bunge ilifikisha mahakamani kamati ya kudhibiti mishahara SRC kwa kutaka kutekelezwa kwa agizo la kukatwa mishahara yaw alai ya wabunge.

    Hata hivyo wanaharakati wamesisitiza kupunzwa kwa mishahara ya wabunge pamoja na marupurupu ya uchukuzi.

    Jaji wa mahakama kuu Gerge Odunga aliamrisha kusitishwa kwa mda mishahara hiyo mipya ya wabunge hadi kesi itakapokamilika.

    Kesi hii itasikizwa tarehe 24 January.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako