• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China na Afrika kusini zaandaa tafrija ya kuadhimisha miaka 20 ya uhusiano wa kibalozi

    (GMT+08:00) 2018-01-19 08:45:23

    Shirikisho la urafiki wa watu wa China kwa nchi za nje na ubalozi wa Afrika kusini nchini China jana hapa Beijing waliandaa tafrija ya kuadhimisha miaka 20 ya uhusiano wa kibalozi kati ya nchi hizo mbili. Naibu spika wa bunge la umma la China Bw. Xiangping Baocuo alihudhuria tafrija hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako