• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Soka, Usajili: Chelsea waonyesha nia ya kumnunua Edin Dzeko

    (GMT+08:00) 2018-01-19 09:04:30
    Klabu ya Chelsea imetangaza kuwa bado ina nia ya kumsajili mashambuliaji wa zamani wa klabu ya Manchester City Edin Dzeko anayecheza katika klabu ya Roma ya nchini Italia.

    Chelsea imemtoa kwa mkopo Michy Batshuayi katika klabu ya Roma, na ikitoa fedha kiasi ya pauni milioni 50 kwa ajili ya kumpata Dzeko na beki wa timu hiyo Emerson Palmieri.

    Pamoja na hayo, Roma bado wameomba nyongeza ya pauni milioni 15 ili kufikia muafaka.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako