• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Iran yaishukuru China kwa kazi za uokoaji wa ajali ya meli ya mafuta ya Sanchi

    (GMT+08:00) 2018-01-19 18:23:02

    Waziri wa kazi, ushirikiano na ustawi wa jamii wa Iran Bw. Ali Rabiei ametuma barua ya shukrani kwa ubalozi wa China nchini Iran, akiishukuru China kwa msaada wake wakati wa ajali ya meli ya mafuta ya Sanchi.

    Kwenye barua hiyo Bw. Rabiei amesema, ajali ya meli hiyo inayomilikiwa na kampuni ya meli ya Iran imesababisha vifo vya mabaharia wote waliokuwa ndani ya meli hiyo. Amesema, China imefanya kazi kubwa ya kuwaokoa mabaharia na kuzima moto.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako