• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Duka la Carrefour Karen limeandikisha mapato au faida ya sh bilioni 1.5

    (GMT+08:00) 2018-01-22 19:32:12
    Duka kubwa la kifaransa Carrefour nchini Kenya imeandikisha mapato ya sh bilioni 1.54 katika kipindi cha miezi saba ya kwanza ya shughuli zake nchini Kenya.

    Majid Al Futtaim, mmiliki wa Carrefour wa kipekee Kenya na nchi zengine 37, anasema duka la carrefour eneo la Karen lilitengeneza Sh bilioni 1.54.8 kati ya mwezi Mei na Desemba 2016.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako